专业音乐搜索

Kuliko Jana (feat. RedFourth Chorus) - Sauti Sol/RedFourth Chorus.lrc

LRC歌词下载
[00:00.000] 作词 : RedFourth Chorus/Polycarp Otieno/Willis Chimano/Savara Mudigi/Bienaimé Baraza
[00:01.000] 作曲 : RedFourth Chorus/Polycarp Otieno/Willis Chimano/Savara Mudigi/Bienaimé Baraza
[00:25.490]Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni kiongozi wangu
[00:31.490]Ananipenda leo kuliko jana
[00:35.490]Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki
[00:42.490]Ananipenda leo kuliko jana
[00:48.490]Kuliko Jana
[00:51.490]Kuliko Jana
[00:53.490]Yesu nipende leo kuliko jana
[01:00.490]Kuliko Jana
[01:03.490]Kuliko Jana
[01:05.490]Yesu nipende leo kuliko jana
[01:11.000]Sinakuomba Mungu awasamehe
[01:17.490]Wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema
[01:23.490]Na maadui wangu nawaombe maisha marefu, wazidi kuona ukinibariki
[01:35.490]Ujue binadamu ni waajabu sana
[01:40.490]Walimkana Yesu mara tatu kabla jogoo kuwika
[01:47.490]Ujue binadamu ni waajabu sana
[01:52.590]Walimsulubisha Yesu Messiah bila kusita
[01:58.490]Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni kiongozi wangu
[02:03.590]Ananipenda leo kuliko jana
[02:09.590]Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki
[02:15.590]Ananipenda leo kuliko jana
[02:21.490]Kuliko Jana
[02:24.490]Kuliko Jana
[02:27.490]Yesu nipende leo kuliko jana
[02:33.490]Kuliko Jana
[02:36.490]Kuliko Jana
[02:39.490]Yesu nipende leo kuliko jana
[02:45.490]Wewe ndio nategemea, Kufa kupona baba nakutegemea
[02:51.490]Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (oooh oooh yeah)
[02:58.490]Wewe ndio nategemea, (amen) Kufa kupona baba nakutegemea (oh oh)
[03:02.490]Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (wewe, ndio nategemea)
[03:08.490]Wewe ndio nategemea, Kufa kupona ndio nategemea (Eh bwana)
[03:14.490]Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (Eh, maisha yangu yote)
[03:22.490]Wewe ndio nategemea, (kwa nguvu zangu zote), kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)
[03:26.490]Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (oooooooh)
[03:32.490]Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni mkombozi wangu
[03:38.490]Ananipenda leo kuliko jana
[03:44.000]Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki
[03:50.490]Ananipenda leo kuliko jana
[03:55.490]Kuliko Jana
[03:58.490]Kuliko Jana
[04:01.490]Yesu nipende leo kuliko jana
[04:07.490]Kuliko Jana
[04:10.490]Kuliko Jana
[04:13.490]Yesu nipende leo kuliko jana
[04:19.490]Wewe ndio nategemea (wewe), kufa kupona baba nakutegemea (wewe)
[04:24.490]Chochote kitanikatsia (uh-huh), kuingia mbinguni utaniondolea
[04:31.000]Wewe ndio nategemea (oooh), kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)
[04:36.590]Chochote kitanikatsia kuingia mbinguni utaniondolea
[04:42.490]Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni mkombozi wangu
[04:47.590]Ananipenda leo kuliko jana
[04:53.490]Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki
[04:59.490]Ananipenda leo kuliko jana
文本歌词
作词 : RedFourth Chorus/Polycarp Otieno/Willis Chimano/Savara Mudigi/Bienaimé Baraza
作曲 : RedFourth Chorus/Polycarp Otieno/Willis Chimano/Savara Mudigi/Bienaimé Baraza
Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni kiongozi wangu
Ananipenda leo kuliko jana
Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki
Ananipenda leo kuliko jana
Kuliko Jana
Kuliko Jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Kuliko Jana
Kuliko Jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Sinakuomba Mungu awasamehe
Wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema
Na maadui wangu nawaombe maisha marefu, wazidi kuona ukinibariki
Ujue binadamu ni waajabu sana
Walimkana Yesu mara tatu kabla jogoo kuwika
Ujue binadamu ni waajabu sana
Walimsulubisha Yesu Messiah bila kusita
Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni kiongozi wangu
Ananipenda leo kuliko jana
Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki
Ananipenda leo kuliko jana
Kuliko Jana
Kuliko Jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Kuliko Jana
Kuliko Jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Wewe ndio nategemea, Kufa kupona baba nakutegemea
Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (oooh oooh yeah)
Wewe ndio nategemea, (amen) Kufa kupona baba nakutegemea (oh oh)
Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (wewe, ndio nategemea)
Wewe ndio nategemea, Kufa kupona ndio nategemea (Eh bwana)
Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (Eh, maisha yangu yote)
Wewe ndio nategemea, (kwa nguvu zangu zote), kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)
Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (oooooooh)
Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni mkombozi wangu
Ananipenda leo kuliko jana
Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki
Ananipenda leo kuliko jana
Kuliko Jana
Kuliko Jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Kuliko Jana
Kuliko Jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Wewe ndio nategemea (wewe), kufa kupona baba nakutegemea (wewe)
Chochote kitanikatsia (uh-huh), kuingia mbinguni utaniondolea
Wewe ndio nategemea (oooh), kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)
Chochote kitanikatsia kuingia mbinguni utaniondolea
Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni mkombozi wangu
Ananipenda leo kuliko jana
Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki
Ananipenda leo kuliko jana