专业音乐搜索

Wana - Zuchu.mp3

Wana - Zuchu.mp3
Wana - Zuchu
[00:00.000] 作词 : Zuhura S...
[00:00.000] 作词 : Zuhura Soud
[00:00.000] 作曲 : Zuhura Soud
[00:00.000]
[00:18.750]
[00:19.230]Hunywi Maji Yakapita
[00:21.810]Me Nkiguna Ushafika
[00:24.200]Jina Gani Hujaniita Baby
[00:28.780]Ushauri Hutaki Kabisa
[00:31.290]Eti Uniache Nna Visa
[00:33.810]Vya Vifarauni Na Musa Vingi
[00:37.730]
[00:37.850]Nikilala Naota Kama Unaniita
[00:42.480]Nafumba Macho Navuta Shuka
[00:45.380]Naona Napumbazika
[00:47.280]Unishikapo Ndipo Hapo Nafarijika
[00:52.180]Mambo Yako Mahaba Yako
[00:54.920]Ndo Maana Natononoka Weee
[00:56.920]
[00:57.000]Wana Wana Wana Wana
[00:59.510]Pale Tulipokutana
[01:01.850]Mikono Tukapeana
[01:04.210]Macho Yakatizamana
[01:06.550]
[01:06.750]Wana Wana Wana Wana
[01:09.070]Pale Tulipokutana
[01:11.490]Namba Kubadilishana
[01:13.900]Nafsi Kukubaliana Aah!
[01:18.090]
[01:26.440]Nzi Kidonda Nimefia
[01:28.930]Wahenga Walisema
[01:31.050]Maradhi Yaweza Yasiwe Na Dawa
[01:33.980]Kwa Penzi Yakapona
[01:36.100]Rabii Amenipa Nusura
[01:38.810]Jeuri Sina Tena
[01:40.380]We Ndo Ganzi Umenimaliza Hasira
[01:43.390]Siumwi Wakisema
[01:45.200]Nidekeze Niliwaze
[01:47.810]Washushuke Wanyamaze
[01:49.900]Nikuna Nibembeleze
[01:52.440]Usinipepee Nipulize
[01:54.780]Watuone Washituke
[01:57.180]Roho Zao Ziwaume
[01:59.610]Mi Nipike Ule Chote
[02:02.280]Unenepe Upendeze
[02:04.370]
[02:04.510]Wana Wana Wana Wana
[02:06.610]Pale Tulipokutana
[02:09.080]Mikono Tukapeana
[02:11.440]Macho Yakatizamana
[02:13.760]
[02:13.910]Wana Wana Wana Wana
[02:16.280]Pale Tulipokutana
[02:18.680]Namba Kubadilishana
[02:21.070]Nafsi Kukubaliana Aah!
[02:25.180]
[02:32.420]Ukitaka Uniweze Nibebe Wewe
[02:37.170]Ukipenda Unibimbe Unikumbatie
[02:41.990]Hata Watu Watuone Wakahadithie
[02:46.720]Nitambulishe Niringe Niwavimbie
[02:51.670]Ukitaka Uniweze Nibebe Wewe
[02:56.450]Ukipenda Unibimbe Unikumbatie
[03:01.210]Hata Lizer Atuone Akahadithie
[03:06.100]Nitambulishe Nitambe Niwavimbie
[03:11.390]
展开