[00:00.000] 作词 : RedFourth Chorus/Polycarp Otieno/Willis Chimano/Savara Mudigi/Bienaimé Baraza[00:01.000] 作曲 : RedFourth Chorus/Polycarp Otieno/Willis Chimano/Savara Mudigi/Bienaimé Baraza[00:25.490]Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni kiongozi wangu[00:31.490]Ananipenda leo kuliko jana[00:35.490]Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki[00:42.490]Ananipenda leo kuliko jana[00:48.490]Kuliko Jana[00:51.490]Kuliko Jana[00:53.490]Yesu nipende leo kuliko jana[01:00.490]Kuliko Jana[01:03.490]Kuliko Jana[01:05.490]Yesu nipende leo kuliko jana[01:11.000]Sinakuomba Mungu awasamehe[01:17.490]Wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema[01:23.490]Na maadui wangu nawaombe maisha marefu, wazidi kuona ukinibariki[01:35.490]Ujue binadamu ni waajabu sana[01:40.490]Walimkana Yesu mara tatu kabla jogoo kuwika[01:47.490]Ujue binadamu ni waajabu sana[01:52.590]Walimsulubisha Yesu Messiah bila kusita[01:58.490]Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni kiongozi wangu[02:03.590]Ananipenda leo kuliko jana[02:09.590]Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki[02:15.590]Ananipenda leo kuliko jana[02:21.490]Kuliko Jana[02:24.490]Kuliko Jana[02:27.490]Yesu nipende leo kuliko jana[02:33.490]Kuliko Jana[02:36.490]Kuliko Jana[02:39.490]Yesu nipende leo kuliko jana[02:45.490]Wewe ndio nategemea, Kufa kupona baba nakutegemea[02:51.490]Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (oooh oooh yeah)[02:58.490]Wewe ndio nategemea, (amen) Kufa kupona baba nakutegemea (oh oh)[03:02.490]Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (wewe, ndio nategemea)[03:08.490]Wewe ndio nategemea, Kufa kupona ndio nategemea (Eh bwana)[03:14.490]Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (Eh, maisha yangu yote)[03:22.490]Wewe ndio nategemea, (kwa nguvu zangu zote), kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)[03:26.490]Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (oooooooh)[03:32.490]Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni mkombozi wangu[03:38.490]Ananipenda leo kuliko jana[03:44.000]Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki[03:50.490]Ananipenda leo kuliko jana[03:55.490]Kuliko Jana[03:58.490]Kuliko Jana[04:01.490]Yesu nipende leo kuliko jana[04:07.490]Kuliko Jana[04:10.490]Kuliko Jana[04:13.490]Yesu nipende leo kuliko jana[04:19.490]Wewe ndio nategemea (wewe), kufa kupona baba nakutegemea (wewe)[04:24.490]Chochote kitanikatsia (uh-huh), kuingia mbinguni utaniondolea[04:31.000]Wewe ndio nategemea (oooh), kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)[04:36.590]Chochote kitanikatsia kuingia mbinguni utaniondolea[04:42.490]Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni mkombozi wangu[04:47.590]Ananipenda leo kuliko jana[04:53.490]Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki[04:59.490]Ananipenda leo kuliko jana